Jimbo la Sudan:Wito kwa watu wa Sudan kufeli mpango wa kuitenga Darfur!
Hotuba ya Ustadhi Abdallah Hussein, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir katika Jimbo la Sudan, yenye kichwa "Wito kwa watu wa Sudan kufeli mpango wa kuitenga Darfur!" aliyoitoa wakati wa msimamo uliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan katika mji wa Al-Dukhainat.
Jumapili, 04 Jumada al-Ula 1447 AH, sawia na 26 Oktoba 2025 BK

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti za Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan:
Tovuti rasmi ya Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan
Kituo cha Daily Motion cha Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan
