Jimbo la Pakistan: Toleo la 85 la Jarida la An-Nusra Latolewa
Toleo la 85 la Jarida la An-Nusra (kwa lugha ya Kiarabu) latolewa na Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Pakistan.

Muharram al-Haram - Safar al-Khair 1447 Hijria | Julai/Julai - Agosti/Agosti 2025 Miladia
Ili kupakua toleo hilo katika umbizo la PDF bonyeza hapa
Ili kutembelea tovuti rasmi ya jarida la An-Nusra bonyeza hapa
Ili kutembelea ukurasa wa jarida katika tovuti rasmi ya Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Pakistan bonyeza hapa