null
null
null
null
Jimbo la Syria: Mwangaza wa Kikatiba "Katiba inayothawabisha dhabihu za watu wa Sham!"
null
Gazeti la Al-Siyasa la Kuwait liliripoti tarehe 2025/8/20 habari kuhusu mkutano wa Syria na Wayahudi ulioratibiwa na Marekani huko Paris; kupunguza mzozo nchini Syria, na lilimnukuu Al-Shibani akisema kwamba alijadili utulivu nchini Syria na ujumbe wa uvamizi. Tovuti ya Marekani ya Axios ilieleza (kwamba mkutano huo uliratibiwa na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, na ni mkutano wa ngazi ya juu zaidi rasmi kati ya Syria na Israel katika zaidi ya miaka 25) [Al Jazeera Net, 2025/8/20] Shirika rasmi la habari la Syria, SANA, liliripoti pia (kwamba Waziri wa Mambo ya Nje Asaad Al-Shibani alikutana na ujumbe wa Israel huko Paris siku ya Jumanne "kujadili idadi ya faili zinazohusiana na kuimarisha utulivu katika eneo hilo na kusini mwa Syria".
null
null
null
null
null