null
null
null
null
null
null
Wale wanaokungojeeni, likikufikieni ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu, husema: Si tulikuwa pamoja nanyi? Na ikiwa makafiri wanapata fungu, husema: Si tumewashinda na tukakukingeni na Waumini? Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama. Wala Mwenyezi Mungu hatawafanyia makafiri njia ya kuwashinda Waumini. (141)
null
null
null
null
null