Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Ardhi Iliyobarikiwa: Darsa la Msikiti ﴿مَّا يَوَدُّ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ وَلَا الْمُشْرِكِينَ أَن يُنَزَّلَ عَلَيْكُم مِّنْ خَيْرٍ مِّن رَّبِّكُمْ ۗ﴾

Kilio kwa Kampeni ya Da'wah "Mlikuwa wapi zamani?!"

Kilio kwa Kampeni ya Da'wah "Mlikuwa wapi zamani?!"

Katika msongamano wa maisha na uzembe wa jamii, linabaki neno moja lenye uwezo wa kutikisa milima, kulipua dhamiri, na kuleta roho ya uwajibikaji katika mioyo ya umma wa Kiislamu. Ni neno lililotoka katika vinywa vilivyochoka kwa mateso, na miili iliyosagwa na dhuluma katika magereza ya watawala dhalimu "Mlikuwa wapi zamani?!" Alisema mmoja wa waliotoka katika magereza ya mtoroshaji Bashar Assad, miongoni mwa wale walioonja maafa, na umri wao ulizimika nyuma ya vizuizi. Alipokutana na baadhi ya wale walioachiliwa, hakumuuliza kuhusu idadi ya miaka ya kifungo, bali alimfokea usoni: "Mlikuwa wapi? Mlikuwa wapi zamani? Kwa nini hamkutuachilia wakati tunazikwa tukiwa hai?".

87 / 10603