June 17, 2025
video
Kituo cha Televisheni cha Tanasuh: Msafara wa Uthabiti.. Kuelekea Kukomesha Kuzingirwa kwa Gaza!
Kituo cha Televisheni cha Tanasuh kilimkaribisha mhandisi Baher Saleh, mwanachama wa ofisi kuu ya habari ya Hizb ut-Tahrir, katika kipindi cha "Mandhari ya Palestina" kuzungumzia mada ya "Msafara wa Uthabiti.. Kuelekea Kukomesha Kuzingirwa kwa Gaza".