August 05, 2025
Wilaya ya Tunis: Msururu wa Ukombozi "Mifumo ya Jamhuri na Kifalme Imeisaliti Gaza.. Kwa Ukhalifa Tunashinda Gaza"
Msururu mkubwa wa maandamano ulitoka katika mji mkuu wa Tunis siku ya Ijumaa, Julai 25, 2025 kutoka mbele ya Msikiti wa Al-Fath baada ya sala ya Ijumaa, uliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Tunis chini ya kichwa: