Habari

Makala Iliyoangaziwa

Kushi News: Neno la Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan katika Mkutano na Waandishi wa Habari Wenye Kichwa: "Wito kwa Watu wa Sudan.. Iokoeni Darfur Ili Isipatwe na Yaliyompata Kusini"

Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilitangaza siku ya Jumamosi tarehe 26/07/2025, kuunda serikali sambamba na serikali iliyopo nchini Sudan, katika mji mkuu wa Darfur Kusini (Nyala). Hatua hii ya Vikosi vya Msaada wa Haraka ni hatua ya kuendeleza utengano wa eneo la Darfur, ambalo wanalidhibiti, isipokuwa sehemu za mji wa Al-Fashir, ambao wameuwekea mzingiro mkali kwa zaidi ya mwaka mmoja, na wanafanya mashambulizi ya mara kwa mara kuuangusha, ili eneo lote la Darfur liwe chini ya udhibiti wao.

Soma zaidi
432 / 442