Amani Haiwezekani Ila kwa Kuondoa Taasisi ya Kiyahudi
na Kutetea Suluhu la Mataifa Mawili Ni Uasi kwa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Waumini!
Habari:
Rais wa Uturuki Erdoğan amesema: "Hatua zote muhimu lazima zichukuliwe haraka iwezekanavyo ili kuanzisha amani ya kudumu, na kukomesha mara moja tukio la mauaji ya kimbari na aibu ambayo inaumiza dhamiri ya ulimwengu. Alisisitiza kuwa Uturuki itaendelea na mapambano yake kwa nguvu zake zote ili kutekeleza suluhu la mataifa mawili." (Gazeti la Milliyet, 2025/10/04)
Maoni:
Kama ilivyo ada yake daima, Erdoğan hutumia sentensi zisizo na mhusika maalum kama vile "lazima zichukuliwe" na "lazima zimalizike", bila ya kubainisha ni nani atachukua hatua hizi au ni nani atakomesha tukio hili la aibu! Badala ya kuomba omba kwa mfumo wa kimataifa, au tuseme kwa bwana wake Mmarekani na uvimbe wake wa saratani uliopotoka katika eneo hilo, taasisi ya Kiyahudi wahalifu, na badala ya kutoa wito hewani, ilimpasa Erdoğan kusema sisi ndio tutachukua hatua, sisi ndio tutasimamisha mauaji haya, sisi ndio tutakomboa Gaza na Palestina yote kama vile Saladin alivyokomboa Msikiti wa Al-Aqsa kutoka kwa Wasalib. Al-Aqsa ambayo watawala wa Waislamu wasaliti wanaiona kama mstari mwekundu wa uwongo, ilimpasa awakomboe kutoka kwa Wayahudi na Wasalib wa zama hizi. Lakini haiwezekani! Wanasherehekea kumbukumbu ya ukombozi wa Yerusalemu mikononi mwa Saladin kwa maneno sio kwa matendo, wao ni wadogo sana kumfuata, wao sio chochote ila wajidai mashujaa, mashujaa wa karatasi wanaojivunia mashujaa wa kweli, huku wakifanya ushujaa bandia!!
Haishangazi kwamba ukombozi wa Yerusalemu na Palestina hautarajiwi kutoka kwa mtu ambaye Trump alimketisha upande wake wa kulia katika mkutano pembezoni mwa mikutano ya Umoja wa Mataifa huko New York, mkutano ambao aliwakusanya mawalii wake katika nchi za Waislamu, au tuseme aliwasimamisha mbele yake ili awatoe amri. Ewe Erdoğan: Je, Trump atakomesha mauaji haya ya kimbari na tukio hili la aibu? Je, wewe ni mjinga kiasi cha kutarajia suluhu kwa maslahi ya Waislamu na Palestina kutoka kwa Trump, mfuasi mkuu wa taasisi ya Kiyahudi wahalifu?! Haiwezekani kuwa na ujinga na wepesi huu kiasi cha kutarajia mema kutoka kwa Shetani Mkuu. Au unapendelea kuwa sehemu ya mpango wa kishetani wa Trump?!
Lau mngelituma ndege zenu za kivita na vifaru vyenu kusawazisha taasisi ya Kiyahudi na ardhi badala ya kutuma ndege zenu za kukodi kuwarejesha mahabusu ambao taasisi ya Kiyahudi iliyopotoka iliwakamata katika meli ya msimamo, mngeliwakomboa na kuikomboa Palestina na Yerusalemu ambayo mnadai kuwa mstari wenu mwekundu. Na lau mngelifanya hivyo, mngelikaribishwa katika nchi yenu, bali na katika nchi zote za Kiislamu, kwa mapokezi ya mashujaa. Lakini hamna ujasiri na ushujaa wa kuipinga Amerika, achilia mbali kuipinga taasisi ya Kiyahudi ambayo haifai hata bawa la mbu. Na badala ya kuwa mkono wa kulia wa Trump, mfuasi wake mkuu, na jambia lake lenye sumu, mngelikatakata shingo yake, mngelipanda jambia moyoni mwake, na mngelimlazimu kuburuta miguu ya kushindwa na kukimbia kutoka katika ardhi zetu ili asirudi tena. Na badala ya kumwita "rafiki yangu", mngelimtendea kama adui mkubwa, na mngelitekeleza wajibu wa uadui huu.
Hivi ndivyo inavyokuwa kuinusuru Palestina na Yerusalemu, basi kwa nini hamhamishi majeshi yenu makubwa kuokoa mstari wenu ambao umevukwa?!
Imeandikwa kwa ajili ya Idhaa ya Afisi ya Habari Kuu ya Hizb ut-Tahrir
Arjan Tekin Baş