Niliwaamini nyinyi na majibu yenu, hivyo niliwategemea kwa utulivu
Habari:
Shirika la Kiyahudi adui mnyang'anyi wa Palestina iliyobarikiwa linafanya shambulio kwenye mitambo ya nyuklia nchini Iran, na kwa viongozi wake wakuu wa kijeshi na kwenye vituo vya makombora na kuviharibu, na pia limewaua wanasayansi wengi muhimu katika atomiki, kabla ya alfajiri ya tarehe kumi na tatu ya mwezi huu wa Juni.
Maoni:
Kabla ya chochote, ni lazima kusema kwamba shambulio lolote dhidi ya nchi yoyote ya Kiislamu na kuivunjia heshima, kuua viongozi wake wa kijeshi na kuharibu uwezo wake wa kijeshi na kiusalama, na kuua wanasayansi na wengine, yote hayo hayawezi ila kumkasirisha Muislamu yeyote duniani kote, sembuse mhalifu aliyefanya hayo yote ni shirika la Kiyahudi kwa msaada wa Amerika, maadui wa Umma wote wa Kiislamu, na waziwazi hata haifichiki kwa watoto wa Umma.
Uadui huu wa Kiyahudi wa Marekani dhidi ya nchi za Waislamu, nchini Iran, usingetokea bila uzembe wa watawala katika nchi zetu za Kiislamu, pamoja na watawala wa Iran wenyewe, jambo ambalo liliifanya shirika la Kiyahudi liamini kutokuwepo kwa majibu yoyote yanayofaa na yanayotosheleza nyoyo za waumini watiifu katika nchi zote za Waislamu.
Na sasa, Iran itaendelea vipi kujadiliana na Marekani kwa kisingizio cha nyuklia baada ya uadui huu mbaya?!
Wajibu wa sasa kwa watawala wa Iran na uongozi wake wa kijeshi ni kujibu shirika la Kiyahudi kwa majibu makali, ya maamuzi, ya haraka na ya kutetemesha, hata kama Marekani haikubali hilo, ambayo inatangaza wazi kwamba inasimama upande wa shirika lililopotoka linalonyang'anya Palestina iliyobarikiwa, bali inapaswa kushughulikiwa na Marekani yenyewe kama inavyoshughulikiwa na Wayahudi, haswa kwa kuzingatia maslahi yao muhimu katika nchi yetu kwanza, na pia kambi za kijeshi katika nchi yetu ya Kiislamu, kwa sababu ni fursa bora ambazo zinapatikana kwa Umma kuwafukuza wavamizi wa Kimarekani kutoka nchi yetu yote na kufichua vibaraka wao na kuwafukuza pamoja nao au kuwazika nao chini ya ardhi.
Ama shirika la Kiyahudi, hakuna suluhisho nalo ila kuliondoa na suluhisho hili linahitaji umoja wa Waislamu, umoja wa majeshi na umoja wa lengo la kumpata Khalifa wa Waislamu mara moja ili kuanza kutekeleza kile kinachofanikisha hilo, na Umma wote umuunge mkono kwa hamu kubwa na kutuliza nyoyo za watu waumini, na hapo tu Palestina iliyobarikiwa itakombolewa kutoka uchafu wa Wayahudi na Amerika.
Na anayehisi kuwa hahusiki na jambo hilo kutoka kwa watawala wa Waislamu, Waarabu na wasio Waarabu, itakuja siku ambayo atapata kile kilichopatikana na kinachopatikana kwa wengine kwa hofu ya Amerika na shirika lake.
Shirika la Kiyahudi ndio pete dhaifu kwa Marekani licha ya kujaribu kuinua ari yake kwa gharama ya damu na heshima ya Waislamu.
Huu ni wito kwa watawala wote wa Waislamu, nchini Iran, Uturuki, Pakistan, Misri, Jordan, Syria na katika nchi zote za Waislamu: amkeni kutoka usingizini mwenu kabla ya mnyama huyo wa Kimarekani na Kiyahudi kuwala na kuudhalilisha Umma wa Kiislamu zaidi ya hapo.
Umma unangojea kuibuka kwa uongozi wenye ufahamu na mtiifu ili uwaongoze kwenye makabiliano na ushindi kwa ukombozi. Natumai atakayejibu hilo ambaye ana mamlaka na uwezo, atastahili radhi za Mwenyezi Mungu kisha za Umma, na namuomba Mungu hilo liwe karibu.
Imeandikwa kwa ajili ya idhaa ya Ofisi ya Habari Kuu ya Hizb ut-Tahrir
Dkt. Muhammad Jaber
Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Lebanon