Organization Logo

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707

spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan Yafanya Mkutano wa Mashauriano Mashariki mwa Nile huko Khartoum
Press Release

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan Yafanya Mkutano wa Mashauriano Mashariki mwa Nile huko Khartoum

October 06, 2025
Location

Habari kwa Vyombo vya Habari

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan

Yafanya Mkutano wa Mashauriano Mashariki mwa Nile huko Khartoum

Katika muktadha wa kampeni inayoendelea ya kukwamisha mpango wa kuigawa Sudan, kwa kulitenga Darfur, Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan ilifanya mkutano wa hadhara Jumamosi tarehe 2025/10/4 katika soko la Al-Wahda 6, eneo la Mashariki mwa Nile huko Khartoum. Mwalimu Omar Hassan, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir, alizungumza kuhusu umoja wa umma kama suala la hatima, ambapo alianza hotuba yake kwa kusema: ﴿وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللهِ جَمِيعاً وَلَا تَفَرَّقُوا﴾, akieleza maana ya aya, kisha akataja kwamba umma wa Kiislamu ulikuwa umeshikamana na kamba ya Mwenyezi Mungu, mpaka alipokuja kafiri mkoloni, akabomoa Khilafah, na akazigawa nchi za Waislamu katika dola ndogo ndogo, na bado anawafanyia hila umma, na anazidi kuugawa uliogawanyika, akaitenga kusini mwa Sudan, na akaandaa majimbo mengine kujitenga, na sasa Marekani inataka kuitenga eneo la Darfur. Alieleza kwamba serikali ya uanzishwaji ni hatua tu katika njia ya kuigawa nchi kwa kulitenga Darfur.

Kisha aliutaka umma kubeba jukumu lake la kutekeleza wajibu wake, na kufanya kazi kwa bidii ili kuzuia kutengwa kwa Darfur kama ilivyotengwa kusini mwa Sudan, na waliohudhuria waliingiliana na hotuba hiyo.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir

Katika Wilaya ya Sudan

Official Statement

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

السودان - مكتب - ناطق

Media Contact

السودان - مكتب - ناطق

Phone: 0912240143- 0912377707

Email: spokman_sd@dbzmail.com

السودان - مكتب - ناطق

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707 | spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-0199b96c-8910-78a4-8402-c12305be70aa