Kuhusu Hadithi Tukufu
"MLANGO WA WATEULE WA VIONGOZI NA WAOVU WAO"
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Kuhusu Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, basi Amani iwe juu yenu na rehema za Mungu na baraka zake.
Imekuja katika Sahih ya Imam Muslim katika maelezo ya Al-Nawawi "kwa muhtasari" katika "MLANGO WA WATEULE WA VIONGOZI NA WAOVU WAO"
Imetuhadithia Ishaq bin Ibrahim Al-Hanzali kutoka Auf bin Malik, kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu,rehema na amani zimshukie, amesema: "Wateule wa viongozi wenu ni wale mnaowapenda na wao wanawapenda na wanakuombeeni na nanyi mnawaombea, na waovu wa viongozi wenu ni wale mnaowachukia na wao wanawachukia na mnawalaani na wao wanawalaani, Ikasemwa: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, je, tusiwapige kwa upanga? Akasema: Hapana, maadamu wanasimamisha Swala kati yenu, na mkiona kutoka kwa watawala wenu jambo mnalolichukia basi chukieni matendo yake wala msiondoe mkono kutoka kwa utiifu."
Kauli yake,rehema na amani zimshukie: Wateule wa viongozi wenu ni wale mnaowapenda na wao wanawapenda na wanakuombeeni na nanyi mnawaombea maana ya wanakuombeeni: yaani wanaomba.
Enyi wasikilizaji wazuri:
Mtu karibu ashangazwe na kile anachosikia na kuona kinachoendelea katika nchi za Waislamu mashariki na magharibi, watawala wamenyonya uajiri na usaliti, na wakasimama dhidi ya umma, waka waua wanawe na kuwadhalilisha wazee wao na kuwabaka wanawake wao na kuhalalisha heshima zao, na kukata viungo vyao, na kupora mali yao, na orodha ya aibu ni ndefu, haisimami, inakwenda nao na maisha. Lakini swali ni mpaka lini? Mpaka lini aibu hii na udhalilishaji huu kwa umma utaendelea? Na watoto wetu wataisoma vipi historia hii baada ya miaka ishirini au zaidi? Kwa hivyo walistahili laana iliyo katika hadithi kwa ubora, Ewe Mwenyezi Mungu, kuwe na Bashar na kundi lake na vibaraka wake na wale wanaomshabikia, na watawala wote wa Waislamu wasaliti walioanguka, na uondoe umma kutoka kwa uovu wao, wao ni mashetani wa wakati huu, Ewe Mwenyezi Mungu, tunashuhudia kuwa tunawachukia na tunafanya kazi ya kuwafagia kutoka nchi zetu baada ya kuwaua na kuwakata, Ewe Mwenyezi Mungu, tuingize majumba yao na utupe mabega yao, na utufanye miongoni mwa wale wanaoshinda kwa ajili ya wanyonge hawa kutoka kwa watoto wa umma, ambao watawala wao wamewatenga, katika miongo hii yote, ili tuandike kwa kuwaua mwanzo wa enzi mpya, kwa herufi za heshima na hadhi, enzi ya ukhalifa kwa manhaj ya unabii, bishara ya Mtume wetu Mtukufu - rehema na amani zimshukie - na ahadi ya Mola wetu katika Kitabu chake Kitukufu, basi usidanganywe na dunia enyi Waislamu, na kukaa nyuma kufanya kazi na wafanyao kazi, na kuacha kheri hii kubwa.
Wasikilizaji wetu wazuri, na mpaka tutakapokutana na hadithi nyingine ya kinabii, tunawaacha katika uangalizi wa Mwenyezi Mungu, na Amani iwe juu yenu na rehema za Mungu na baraka zake.