Unyama wa Mzozo wa Magharibi
Habari:
Mashambulizi ya ghafla ya ndege zisizo na rubani za Ukraine yalilenga kambi muhimu za kijeshi za kimkakati za Urusi zilizoko ndani kabisa mwa Siberia, yakilenga hasa ndege za kivita za "Tu-95" na "Tu-22M". (Al Jazeera Net, 2025/06/06)
Maoni:
Operesheni hii imefanywa na Ukraine kwa mipango makini sana kwa msaada wa Waingereza, ambao wamefunza zaidi ya wanajeshi elfu 50 wa Ukraine na kuwekeza pauni bilioni 2 kutengeneza ndege zisizo na rubani na kuipatia Ukraine maelfu yao na wanapanga kuipatia 100,000 katika kipindi kijacho. Waziri wa Uingereza ametamka "Vita yetu na Urusi ni vita ya kimkakati", "Hatuwezi kuruhusu kushindwa kwa Ukraine", Waingereza wamehesabu vita hii kuwa vita yao na kujiona kuwa watetezi wa kwanza wa Ukraine, na walipanga operesheni hii miezi 17 iliyopita, yaani kabla ya Trump na mamlaka yake kuwepo, na Amerika ilijua kuhusu tukio hilo lakini imechelewa, na huu ni msimamo wa kimataifa ambao una aina fulani ya tofauti kuhusu Ukraine, kwani Amerika kwa kuishinikiza kupitia kudai kugawana madini ya thamani katika ardhi yake inaonekana katika msimamo unaoelekea kwa Warusi zaidi, na msimamo huu wa kimataifa ingawa haujatangazwa rasmi katika vyombo vya habari lakini umezungumziwa kati ya mistari ya matukio moja kwa moja, kwani Uingereza inataka kuendeleza vita hivi kwa muda mrefu zaidi ili kuimaliza nguvu Urusi, na Amerika inataka kumiliki madini ya Ukraine, kwa hivyo misimamo hii ya kimataifa imegawanyika katika nchi za Magharibi, kati yao kuna migogoro mikubwa na pengo kubwa sana kati ya Amerika na Uropa.
Hawa makafiri wa Magharibi wako tayari kuharibu nchi na kuua watu na kuwafukarisha watu kwa ajili tu ya maslahi yao ya kimwili yanayotokana na mfumo wao bandia, Ewe Mwenyezi Mungu, harakisha uje wa dola ambayo chini yake hakuna mtu atakaye kuwa na njaa wala kufukuzwa, harakisha uje wa dola ambayo inapigana vita haimuui mzee wala mwanamke wala kukata mti wala kuchinja mnyama isipokuwa kwa ajili ya chakula, wasiwasi wake pekee ni kuwaokoa watu kutoka katika ibada ya waja kwenda katika ibada ya Mola wa waja.
Imeandikwa kwa ajili ya redio ya Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Khadija Saleh