Jimbo la Sudan: Ujumbe kwa Umma!
Sehemu ya hotuba ya kisiasa katika soko kuu la Port Sudan, kama sehemu ya kampeni ya kukwamisha mpango wa kutenganisha Darfur, iliyotolewa na mwalimu Mohamed Jami' (Abu Ayman) msaidizi wa msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Sudan.
Jumatatu, 24 Safar al-Khair 1447 AH, sawa na 18 Agosti 2025 BK

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti za Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan:
Tovuti rasmi ya Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan
Chaneli ya Dailymotion ya Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Sudan
