Ewe Erdogan, Je Kutonyamaza ni Kelele Tupu Bila Vitendo?!
Habari:
Rais wa Uturuki Erdogan alisema kwamba wanasimama na Gaza. Alisema: "Hatuwezi kamwe kunyamaza kimya dhidi ya mnyama anayeitwa Netanyahu. Matatizo tunayopitia leo yataisha, na giza la dhuluma litatoa nafasi kwa jua la haki ambalo litaangaza mioyo yetu." (Kituo cha NTV, 2025/09/03)
Maoni:
Ewe Erdogan, hukunyamaza kimya juu ya mauaji ya kimbari na machinjo yanayofanywa na shirika la Kiyahudi lililoharibika huko Gaza kwa karibu miaka miwili, ambayo hadi sasa watu 65,000 wameuawa, lakini umefanya nini hasa? Baada ya tarehe saba Oktoba 2023, ni majibu gani au kisasi cha maana ambacho umeonyesha dhidi ya uhalifu na mauaji ya shirika la Kiyahudi la kikatili dhidi ya watu wa Gaza, isipokuwa kuibua kelele tupu?! Kelele zako tupu unazoibua hapa na pale, kwa bahati mbaya, hazizuii machinjo na mauaji ya Wayahudi. Mradi tu watawala ambao wana majeshi yenye nguvu na makubwa kama wewe wanatosheka na kuibua kelele tupu, badala ya kutoa jibu ambalo litawasahaulisha Wayahudi wasiwasi wa shetani, basi machinjo yanayofanywa huko Gaza hayataisha kamwe. Kuna njia moja tu ya kukomesha umwagaji damu huko Gaza leo, nayo ni vita. Lakini kama ilivyoelezwa katika hadithi, huna moyo na utashi wa kuhatarisha vita na Wayahudi, ewe Erdogan! Kwa hali yoyote, kusubiri tangazo la vita kutoka kwa mtu ambaye ni mtumwa na mtumishi kwa wengine, dhidi ya mtoto wao aliyependekezwa, ni sawa na kulima baharini na kuomba msaada kutoka kwa shetani!
Mtu ambaye hataki kunyamaza kimya juu ya uhalifu na mauaji ya Wayahudi, anapaswa kuhamasisha majeshi ili kuwafuta kutoka uso wa dunia, badala ya kuhutubia hapa na pale kwenye majukwaa, viwanja na majukwaa ya Umoja wa Mataifa, na kuomba msaada kutoka kwa mfumo wa kimataifa ili kukomesha mauaji ya kimbari huko Gaza. Na kwa sababu mnafahamu vyema kama mnavyojua jina lenu kwamba hamwezi kufanya hivyo, hamfanyi chochote cha maana isipokuwa kuhutubia katika viwanja na majukwaa mbalimbali, ili kulaghai maoni ya umma wa Kiislamu, au labda - tuwe waadilifu kidogo - ili kutuliza hisia zenu.
Netanyahu, ambaye unamuelezea kama dikteta, anaendelea na mauaji yake ya kimbari na machinjo kwa sababu anajua vyema kwamba hamtafanya kitendo chochote cha thamani dhidi yake isipokuwa maneno. Hasikilizi kelele zenu tupu kabisa, kwa sababu hayo ni maneno tu yasiyo na maana. Maneno bila matendo hubakia tu mwangwi ambao haubadilishi chochote katika uhalisia.
Majibu yenu yanayowakilishwa na kusema "Hatutanyamaza" hayatazuia kamwe mipango ya shirika la Kiyahudi ya kukalia Gaza na Ukingo wa Magharibi. Na mnafahamu hili vyema, ewe Erdogan! Ikiwa kweli mnataka kufanya jambo kwa ajili ya Gaza na Palestina yote, na hata Jerusalem ambayo mnaiita mstari wenu mwekundu, zaidi ya maneno, basi lazima muhamasishe majeshi yenu mara moja na bila kupoteza muda. Hapo tu ndipo maneno yenu "Hatutanyamaza" yatakuwa na maana na thamani. Vinginevyo, maneno yenu haya hayatakuwa na thamani yoyote ya kweli mbele ya Mungu.
Damu inayomwagika huko Gaza inajeruhi mioyo yetu sote na inatuumiza. Lakini tunaposikia kutoka kwa uongozi ambao una jeshi kubwa na unajivunia mafanikio katika uwanja wa ulinzi wa taifa, na unaonyesha nguvu zao baharini na meli za kivita, kwamba kiwango cha juu zaidi kinachoweza kusemwa ni "Hatutanyamaza", basi hiyo huongeza maumivu na huongeza hisia za kukata tamaa. Watu wa kawaida wana jukumu la kutoa maoni kwa maneno na msimamo, lakini viongozi ambao wana zana za nguvu ndio watu wa uamuzi na utekelezaji. Maneno ni ya watu, lakini utekelezaji na kazi ni ya watawala. Lakini ukweli ni kwamba nyinyi si watawala wa kweli, bali ni kama watawala, na kwa sababu mnafahamu kwamba jibu la kijeshi kwa Wayahudi linamaanisha kujibu bibi yenu Amerika, na kwa sababu jambo hili linahitaji ujasiri wa kweli na azimio thabiti kama azimio la Al-Mu'tasim, basi mnatosheka na kusema kama watu wa kawaida.
Mtu anayevutiwa na historia ya Ottoman kama wewe, ataona anapotazama watawala wa historia ya ukhalifa kwamba jibu kwa maadui lilikuwa kwa vitendo sio kwa maneno; kwa sababu walikuwa wanafahamu vyema kwamba nafasi zao ni nafasi za vitendo sio za maneno. Kwa hivyo, Wayahudi wana tiba na dawa moja tu, ambayo si kuibua kelele tupu katika demokrasia, bali ni jihadi katika ukhalifa. Hii ndiyo tiba yao pekee, na hakuna kitu kingine kitakachowafaidi. Wayahudi katika historia hawajawahi kuelewa lugha ya karipio, na kitu pekee wanachoelewa ni kupigwa.
Imeandikwa kwa ajili ya kituo cha habari cha ofisi kuu ya Hizb ut Tahrir
Arjan Tekin Bash