Pamoja na Hadithi Tukufu - "Mlango wa Wajibu wa Kumtii Viongozi katika Yasiyo Maasi na Uharamu Wake katika Maasi"
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Anfal
Ardhi Iliyobarikiwa: Darsa ya Msikiti "Je, Inawezekana Kusimamisha Kuamrisha Mema na Kukataza Maovu?!"
Kituo cha Televisheni cha At-Tanasuh kilimhoji mwalimu Ahmed Al-Qasas, mwanachama wa Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir, katika kipindi cha "Mazungumzo ya At-Tanasuh" kuzungumzia mada ya "Kwa nini Magharibi inakataa wazo la Dola ya Kiislamu?!".
Ardhi Iliyobarikiwa: Darsa ya Msikiti "Jinsi Gani Umma Unaweza Kuokoka Kutoka Kwenye Upotevu na Unastahili Toba ya Allah!"
Televisheni ya Al-Waqiyah: Khutba ya Ijumaa "Kiburi cha Makafiri Juu Yetu!"
Televisheni ya Al-Waqiyah: Khutba ya Ijumaa "Dhabihu Zilizopotea na Mapinduzi Yaliyosalitiwa!"
Televisheni ya Al-Waqiyah: Darsa ya Msikiti "Alama ambazo Wanafiki Wanajulikana Nazo!"
Aya hii inatoa mfano wa utukufu wa Qur'ani hii na nguvu ya athari yake, hata kwamba kitu kisicho na uhai - kama vile mlima mgumu - lau ingeteremshwa juu yake Qur'ani hii, kingepasuka kwa kumcha Mwenyezi Mungu.
Jimbo la Sudan: Khutba ya Ijumaa "Katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake ﷺ ni lazima dola yake isimamishwe!"