Mtandao wa Maarifa News: Kongamano la Masuala ya Umma - Hatari ya Mtazamo wa Mamlaka Kama Keki Inayogawanywa
Chini ya kichwa hiki, Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan ilifanya kongamano lake la kila mwezi (Kongamano la Masuala ya Umma), katika ofisi ya chama katika mji wa Port Sudan, Jumamosi, 10 Muharram 1447 Hijria, sawa na 2025/07/05 Miladia.