Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Ar-Raya: Ni moja ya mambo makuu ndege za Kiyahudi kuvuka anga za tawala kisha kushambulia Iran na kurejea salama bila kuzuiwa na tawala hizi hata kwa risasi moja!

Jarida la Ar-Raya: Ni moja ya mambo makuu ndege za Kiyahudi kuvuka anga za tawala kisha kushambulia Iran na kurejea salama bila kuzuiwa na tawala hizi hata kwa risasi moja!

Trump alitaja katika chapisho kwenye jukwaa la Truth Social: [Iran na Israel lazima zifikie makubaliano na zitafikia kama vile nilivyofanya India na Pakistan kufikia makubaliano.. Akaendelea: Vile vile kutakuwa na amani hivi karibuni kati ya Israel na Iran, kuna simu na mikutano mingi inayoendelea sasa. Sky News, 2025/6/15]. Msemaji wa jeshi la shirika la Kiyahudi kupitia jukwaa la "X" alisema siku ya Jumapili [kwamba Israel imetoa onyo kwa Wairani wanaoishi karibu na mitambo ya nyuklia nchini Iran kuacha nyumba zao...

Jarida la Ar-Raya: Gaza ambayo haifichiki katika kivuli cha vita

Jarida la Ar-Raya: Gaza ambayo haifichiki katika kivuli cha vita

Wakati Gaza ilikuwa na bado iko, chini ya moto inashambuliwa, inazingirwa na kuwekwa katika njaa, na mitego mibaya ya "msaada" inawekwa ili kuwavutia wenye njaa waliozingirwa na kuwaua, shirika la Kiyahudi lilizindua uchokozi dhidi ya Iran, na kuanza kuipiga kwa operesheni za anga na zisizo za anga, ili vita dhidi ya Iran, haswa baada ya Iran kuanza kujibu kwa makombora kwa kulipua miji ya shirika hilo, iwe lengo la ulimwengu na kitovu cha umakini, na janga huko Gaza lifichwe kutoka kwa macho, na kutoka kuwa kitovu cha ushughulikiaji wa vyombo vya habari na kisiasa, 

Jarida la Ar-Raya: India na Asia ya Kati Malengo ya Muunganiko wa Kijiografia na Kisiasa Imeandikwa na: Profesa Abdul Aziz Al-Uzbeki

Jarida la Ar-Raya: India na Asia ya Kati Malengo ya Muunganiko wa Kijiografia na Kisiasa Imeandikwa na: Profesa Abdul Aziz Al-Uzbeki

Mnamo Juni 6, 2025, mkutano wa nne wa mawaziri wa mambo ya nje wa India na nchi za Asia ya Kati ulifanyika New Delhi. Ingawa mkutano huo, ulihudhuriwa na ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan, Turkmenistan na Uzbekistan, ulielezewa katika taarifa rasmi kama wa "kuimarisha ushirikiano", kwa hakika ulikuwa na malengo makubwa ya kimkakati kama vile kukabiliana na ushawishi wa China na Urusi, kubadilisha njia za nishati, na kuimarisha msimamo wa kisiasa wa Marekani katika eneo hilo.

Jarida la Ar-Raya: Kuingilia kati kwa majeshi ya Haftar katika eneo la mpaka lenye pembe tatu ni kwa lengo la kuimarisha ushawishi wa Amerika nchini Sudan

Jarida la Ar-Raya: Kuingilia kati kwa majeshi ya Haftar katika eneo la mpaka lenye pembe tatu ni kwa lengo la kuimarisha ushawishi wa Amerika nchini Sudan

Katika taarifa ya Jeshi la Wanajeshi la Sudan siku ya Jumatano, Juni 11, 2025, ilisema kwamba Vikosi vya Msaada wa Haraka vilishambulia eneo la mpaka lenye pembe tatu kati ya Sudan, Misri na Libya, likisaidiwa na vikosi vya Khalifa Haftar. Katika tweet ya mshauri wa Vikosi vya Msaada wa Haraka, Al-Basha Tabiq kwenye jukwaa la X, alisema kuwa vikosi vyake vimedhibiti eneo la kimkakati la pembetatu, linalounganisha Misri, Sudan na Libya, jambo ambalo lilisababisha jeshi la Sudan kujiondoa. Jeshi la Sudan lilitangaza katika taarifa kwamba limeondoa vikosi vyake kutoka eneo la Al-Owinat,

261 / 10603