Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Baada ya shambulio la shirika la Kiyahudi dhidi ya msafara wa mshikamano, wito wa dharura kwa maafisa na askari katika majeshi ya Waislamu: Jeshi haliangamizwi ila kwa jeshi

Baada ya shambulio la shirika la Kiyahudi dhidi ya msafara wa mshikamano, wito wa dharura kwa maafisa na askari katika majeshi ya Waislamu: Jeshi haliangamizwi ila kwa jeshi

Enyi askari: Mmeshuhudia shambulio la shirika la Kiyahudi dhidi ya msafara wa mshikamano uliosafiri kuondoa mzingiro kwa ndugu zenu huko Gaza, na mmesikia wito wao wa kuomba msaada, na mmeona kwa macho yenu wenyewe ukatili wa watawala na uchafu wao na ukosefu wa hisia zao, na kushindwa kwao kuisaidia Gaza na wanaharakati wa msafara. Pia imedhihirika wazi kwenu kuwa watawala hao wamemsaliti Mungu na Mtume wake na kuwaangusha waumini walipoangusha hadharani kile walichokiita "chaguo la vita" kwa kutii matakwa ya vichwa vya ukafiri, yaani, wameacha kutegemea uwezo wenu nanyi ni askari wa Muhammad, rehma na amani zimshukie, na watu wa jihad na msaada na azma,

78 / 10603