Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Vito vya Thamarati - Yeyote anayemjua Mungu, humwogopa na kumstahi zaidi na kumpenda

Vito vya Thamarati - Yeyote anayemjua Mungu, humwogopa na kumstahi zaidi na kumpenda

Ibn Masoud alisema: Kumcha Mungu kunatosha kuwa elimu. Upungufu wa hofu ya Mungu ni kwa sababu ya upungufu wa ujuzi wa mja kwake, kwa hivyo watu wanao mjua zaidi ndio wanaomwogopa zaidi Mungu, na yeyote anayemjua Mungu humwogopa na kumstahi zaidi na kumpenda, na kila anapoongeza ujuzi, huongeza aibu, hofu na upendo, hofu ni moja wapo ya nyumba tukufu za njia, na hofu ya watu maalum ni kubwa kuliko hofu ya umma, nao wanaihitaji zaidi, nayo inawafaa zaidi, na inawalazimu zaidi. Kwani mja ama atakuwa mnyoofu au amepotoka, ikiwa amepotoka basi amwogope adhabu kwa sababu ya kupotoka kwake, na imani haisihi ila kwa hofu hii.

Jimbo la Uturuki: Nusra kwa Gaza Wito wa Pamoja kwa Watawala "Miaka Miwili Imepita! Hatungoji Maneno Bali Matendo!"

Jimbo la Uturuki: Nusra kwa Gaza Wito wa Pamoja kwa Watawala "Miaka Miwili Imepita! Hatungoji Maneno Bali Matendo!"

Mbele ya mauaji ya kinyama (mauaji ya halaiki) yanayoendelea kwa miaka miwili kamili, ambayo yanafanywa na shirika la Kiyahudi la uhalifu dhidi ya Waislamu wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotea kwa Waislamu zaidi ya 240,000 hadi sasa, Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Uturuki liliandaa maandamano makubwa ya umma katika mji mkuu Ankara na katika jiji la Istanbul na jiji la Sanli Urfa chini ya kichwa:

Jarida la Al-Raya: Umoja wa Mataifa na Utambuzi wa Taifa la Palestina

Jarida la Al-Raya: Umoja wa Mataifa na Utambuzi wa Taifa la Palestina

Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti uamuzi wa mataifa 151 kati ya mataifa 193 wanachama wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kutambua taifa la Palestina, na kususia kwa Amerika, Ujerumani, Italia na nchi zingine. Utambuzi huu umekuja baada ya zaidi ya miaka 77 ya Wayahudi kulinyakua eneo la Palestina mwaka 1948 na kuanzisha chombo chao kilichoharibika juu yake. Mataifa 165 yalitambua wakati huo, huku Amerika na Umoja wa Kisovieti uliokufa zikiwa miongoni mwa nchi za kwanza kuutambua kama taifa na kisha kuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa, na miongoni mwa nchi za kwanza za Kiislamu kuutambua mwaka 1949 zilikuwa Uturuki na Iran (hadi mwaka 1979).

Jarida la Ar-Raya: Mkataba wa Ulinzi wa Kimkakati Kati ya Pakistan na Saudi Arabia

Jarida la Ar-Raya: Mkataba wa Ulinzi wa Kimkakati Kati ya Pakistan na Saudi Arabia

Mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, ulishuhudia, Jumatano, 2025/9/17, utiaji saini wa mkataba wa "Ulinzi Shirikishi wa Kimkakati" kati ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, na Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, katika hatua iliyoelezewa na vyombo vya habari kama mabadiliko makubwa katika uhusiano wa nchi hizo mbili. Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia (WAS), mkataba huo unalenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kiusalama kati ya Riyadh na Islamabad, ikiwa ni pamoja na mafunzo, kubadilishana uzoefu, na uratibu katika masuala ya ulinzi. Mkataba huo unaeleza kuwa shambulio lolote dhidi ya upande mmoja litachukuliwa kuwa shambulio dhidi ya pande zote mbili.

Jarida la Al-Raya: Je, Marekani Inachezea Ramani za Sykes-Picot? Sehemu ya Pili Mradi wa "Sham Mpya"

Jarida la Al-Raya: Je, Marekani Inachezea Ramani za Sykes-Picot? Sehemu ya Pili Mradi wa "Sham Mpya"

Kauli ya mjumbe wa Marekani kwa Syria na Lebanon, Tom Barack, mnamo 2025/7/12 kuhusu uwezekano wa Lebanon kurejea Sham tena ilikuwa ya kushangaza. Kauli yake hii iliongezwa kwa chapisho lake la awali kwenye akaunti yake kwenye jukwaa la X mnamo 2025/5/26, ambayo pia ilivutia umakini, ambapo alisema: "Magharibi ililazimisha ramani, mamlaka, na mipaka iliyochorwa kwa wino karne moja iliyopita, na mkataba wa Sykes-Picot uligawanya Syria na eneo hilo kwa malengo ya kikoloni na sio kwa amani." Aliongeza: "Mgawanyiko huo ulikuwa kosa la gharama kubwa kwa vizazi vyote na hautatokea tena,

80 / 10603