Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: #Jibu_Swali: #Sudan Baada ya Utawala wa Kikosi cha Msaada wa Haraka kwenye #Fasher

Rada: #Jibu_Swali: #Sudan Baada ya Utawala wa Kikosi cha Msaada wa Haraka kwenye #Fasher

#Swali: (Musaad Bulus, mshauri mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu masuala ya Mashariki ya Kati, alithibitisha kuwa Jeshi la Sudan na Kikosi cha Msaada wa Haraka walikubaliana juu ya usitishaji mapigano wa miezi mitatu, kulingana na mpango wa Kundi la Nne linalojumuisha Falme za Kiarabu, Marekani, Saudi Arabia na Misri, uliotangazwa mnamo Septemba 12 iliyopita... Sky News Arabia, 3/11/2025), na makubaliano haya juu ya mpango wa Marekani

Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Australia Anakuza Uhalalishaji Mjinga kwa Taasisi ya Uhalifu

Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Australia Anakuza Uhalalishaji Mjinga kwa Taasisi ya Uhalifu

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Usalama na Ujasusi la Australia, Mike Burgess, alitoa hotuba katika Taasisi ya Lowy jana, akiitumia kufanya upya usaidizi wa serikali ya Australia kwa taasisi ya mauaji ya halaiki inayokalia ardhi iliyobarikiwa ya Palestina. Hotuba yake ilijumuisha mfululizo wa taarifa zilizorudiwa zilizochukuliwa kutoka kwa hotuba ya serikali na wafuasi wa mauaji hayo, akionya dhidi ya "vitisho kwa mshikamano wa jamii", "kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi", na "kuhalalisha vurugu za kisiasa". Alienda mbali zaidi na kuonya juu ya uwezekano wa "mauaji ya kisiasa yanayoendeshwa kutoka nje" ndani ya Australia!

Kutoka Hudhud na Sisimizi Hadi Umma Ulioghafilika Usio na Wajibu!

Kutoka Hudhud na Sisimizi Hadi Umma Ulioghafilika Usio na Wajibu!

Kisa cha hudhud na sisimizi si hadithi ya watoto, bali ni somo zito kuhusu uwajibikaji, ufahamu na wivu kwa dini katika uongozi, onyo na msimamo. Katika hadithi za Kurani kuna mawaidha makuu, hayasimuliwi kwa ajili ya burudani, bali kujenga ufahamu na kuamsha akili na mioyo. Na Mwenyezi Mungu ametusimulia kisa cha hudhud na sisimizi wa Suleiman ili atufundishe maana ya kuchukua jukumu na kuhisi hatari kabla ya kutokea, na kusimama na haki, hata kama mwenyewe ni ndege au mdudu! Vipi kuhusu wanadamu? Vipi kuhusu waumini? Vipi kuhusu wabebaji wa da'wa?

22 / 10603