Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jimbo la Jordan   Msiba wa Mbeba Da'wa   Ustadh Yusuf Dhiab Al-Shalabi (Abu Dhiya)

Jimbo la Jordan Msiba wa Mbeba Da'wa Ustadh Yusuf Dhiab Al-Shalabi (Abu Dhiya)

Imani yetu katika hukumu ya Mwenyezi Mungu na kwa kutarajia malipo, Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir/Jimbo la Jordan inamtangazia msiba wa mbeba da'wa katika safu zake: Ustadh Yusuf Dhiab Al-Shalabi (Abu Dhiya), ambaye amehamia katika rehema za Mwenyezi Mungu siku ya Alhamisi, Mosi Muharram 1447 Hijria, sawa na 2025/06/26 Miladia, akiwa na umri wa miaka themanini na tisa, baada ya ugonjwa mrefu ambao amehesabu thawabu zake kwa Mwenyezi Mungu.

Rada: Mwalimu Ghada Abdulgabbar (Ummu Awab) anaandika.. Dola ya kiraia imeshindwa kusimamisha uadilifu nyumbani kwake, vipi itafanikiwa kwetu?!

Rada: Mwalimu Ghada Abdulgabbar (Ummu Awab) anaandika.. Dola ya kiraia imeshindwa kusimamisha uadilifu nyumbani kwake, vipi itafanikiwa kwetu?!

Waziri Mkuu wa Sudan, Kamel Idriss alitangaza katika mkutano na waandishi wa habari, kuundwa kwa serikali mpya inayoitwa "Serikali ya Matumaini", iliyo na wizara 22, na katika hotuba iliyoitwa (ya kihistoria), alifunua sifa za serikali ya matumaini aliyoiita serikali ya kiraia, na akasema kwamba inategemea maono wazi na kanuni thabiti za kuokoa Sudan, na kuiweka katika njia ya maendeleo na ustawi, na kufikia usalama na ustawi, na maisha mazuri kwa kila Msudani.

253 / 10603