Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Profesa/ Ghada Abdel-Jabbar (Ummu Awab) anaandika.. Dola ya kiraia imeshindwa kusimamisha uadilifu katika makao yake, vipi itafanikiwa kwetu?!

Rada: Profesa/ Ghada Abdel-Jabbar (Ummu Awab) anaandika.. Dola ya kiraia imeshindwa kusimamisha uadilifu katika makao yake, vipi itafanikiwa kwetu?!

Waziri Mkuu wa Sudan, Kamel Idriss alitangaza katika mkutano na waandishi wa habari, kuundwa kwa serikali mpya iitwayo "Serikali ya Matumaini", iliyoundwa na wizara 22, na katika hotuba iliyoitwa (ya kihistoria), alifunua sifa za serikali ya matumaini ambayo aliiita serikali ya kiraia, na akasema kwamba inategemea maono wazi na kanuni thabiti za kuokoa Sudan, kuiweka katika njia ya maendeleo na ustawi, kufikia usalama na ustawi, na maisha mazuri kwa kila Msudani. Alibainisha kuwa maono ni kuibadilisha Sudan kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea.

Rada: Kwa Gaza Yatima?!

Rada: Kwa Gaza Yatima?!

Mnamo tarehe 24 Juni, 2025, vyombo vya habari rasmi vilitangaza kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Iran na taasisi ya Kiyahudi, na makubaliano hayo hayakujumuisha masharti yoyote kwa watu wa Gaza, ambao wameonja mambo machungu, kana kwamba Gaza si sehemu ya taifa la Kiislamu, na kana kwamba wanawake wake si wanawake wetu, na watoto wake si watoto wetu! Ni kana kwamba Iran inataka kuuarifu ulimwengu mzima kwamba inaiangusha Gaza kwa kuonyesha nguvu zake za kijeshi na kimtandao, na uwezo wake wa kuifuta taasisi hiyo kutoka ardhini.

Kushi News: Hotuba ya kisiasa katika mji wa Port Sudan

Kushi News: Hotuba ya kisiasa katika mji wa Port Sudan

Chama cha Ukombozi/ Jimbo la Sudan leo Jumatatu tarehe 05 Muharram 1447 Hijria, sawa na 30/06/2025 BK, kutoka mbele ya Hoteli ya Al-Haramain katika soko kubwa la mji wa Port Sudan, kiliwahutubia umati wa waliohudhuria katika hotuba yake ya kisiasa ya kila wiki, ambayo wakati huu ilikuja chini ya kichwa: (Uhamiaji ni chimbuko la dola kubwa zaidi). Profesa Muhammad Jami Abu Ayman, msaidizi wa msemaji rasmi wa Chama cha Ukombozi katika jimbo la Sudan, alianza hotuba yake kwa kusema kwamba Uhamiaji wa Kinabii kutoka Makka kwenda Madina ulikuwa tukio kubwa zaidi ulimwenguni, kwani ulibadilisha sura ya historia kwa kuanzisha dola kubwa zaidi inayotumia sheria ya Mungu duniani .. Na kutokana na ukuu wa Uhamiaji, thawabu kubwa zaidi katika Uislamu ilikuwa thawabu na malipo yake,

251 / 10603