Pamoja na Hadithi Tukufu - Uendelevu wa Mawasiliano na Mwenyezi Mungu
Tunawasalimu nyote wapenzi wetu popote mlipo, katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, basi Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.