Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Ar-Raya: Je, Kamati ya Nne ndio Kituo cha Mwisho katika Vita vya Sudan?!

Jarida la Ar-Raya: Je, Kamati ya Nne ndio Kituo cha Mwisho katika Vita vya Sudan?!

Siku ya Jumamosi, 2025/10/25, mshauri mkuu wa Rais wa Marekani kuhusu masuala ya Kiarabu na Afrika, Mussaad Boulos, alisema kuwa pande za Kamati ya Nne kuhusu Sudan zimekubali kuunda kamati ya pamoja ya kuimarisha uratibu kuhusu vipaumbele vya haraka nchini Sudan. Boulos aliongeza kupitia jukwaa la X kwamba mkutano ulioandaliwa na Marekani huko Washington jana, na kushirikisha Misri, Saudi Arabia na UAE, ulijadili njia za kusitisha uingiliaji wa nje katika mzozo wa Sudan na kuharakisha mpito kuelekea utawala wa kiraia.

Jarida la Al-Raya: Sura Mpya Katika Vitendo vya Kupanga Njama Dhidi ya Gaza

Jarida la Al-Raya: Sura Mpya Katika Vitendo vya Kupanga Njama Dhidi ya Gaza

Kusitishwa kwa mapigano kuliko lazimishwa na Trump huko Gaza, mwanzoni mwa mwezi wa Oktoba 2025, kulikuwa kama wavu wa uokoaji au njia ya kumuokoa Netanyahu, ambaye ukaidi wake uliudhi watu wa ulimwengu mzima, haswa Ulaya na Amerika, na kulileta mabadiliko makubwa katika misimamo ya watu kuelekea taasisi yake vamizi. Pia ilikuwa ni kikwazo kwa tamaa za taasisi hiyo ambazo zinaipa rasilimali zinazopingana na masilahi yake, kwani vita hivi vya kikatili vilikuwa chombo cha kuharibu taswira yake ulimwenguni, lakini vikawa chombo cha kuamsha maoni ya umma dhidi yake na dhidi ya wafuasi na waungaji mkono wake, hadi viongozi wa ulimwengu wanaounga mkono wakaogopa kuhusika katika malalamiko kwa mahakama za kimataifa kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya kimbari.

32 / 10603