Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Yatoa Taarifa Muhimu kwa Vyombo vya Habari

Rada: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Yatoa Taarifa Muhimu kwa Vyombo vya Habari

Baada ya uongozi wa jeshi kushindwa kuinusuru mji wa Al-Fashir, ambao umekuwa ukizingirwa tangu Mei 10, 2024, ambapo mashambulizi 266 yalizuiwa dhidi ya mji huo, hatimaye ilitangazwa siku ya Jumapili, Oktoba 26, 2025, kwamba mji huo ulikuwa umeanguka mikononi mwa Kikosi cha Msaada wa Haraka, ambacho kilitumia nguvu zake kushambulia mji huo kutoka pande tano, kikitumia misafara mikubwa ya magari ya kivita, magari yenye silaha, ndege zisizo na rubani, na askari wa miguu, kikisaidiwa na mamluki kutoka nchi kadhaa; kutoka Colombia, Chad, Sudan Kusini, na Afrika ya Kati,

Vipi mtu anayehusika na usalama wa watu hukimbia akitafuta usalama?!

Vipi mtu anayehusika na usalama wa watu hukimbia akitafuta usalama?!

Habari za Sudan zilinukuu kutoka Darfur 24 habari yenye kichwa: (Je, ni kujiondoa kwa uratibu au ni anguko?! Viongozi wa jeshi, kikosi cha pamoja na maafisa wanaondoka Al-Fashir siku mbili kabla ya kuanguka kwake), ilisomeka: (Vyanzo viwili kutoka Kaskazini mwa Darfur vilifichua kwa tovuti ya Darfur 24 kwamba viongozi wa jeshi pamoja na wanamgambo kutoka kikosi cha pamoja, Gavana wa Kaskazini mwa Darfur, Al-Hafiz Bakhit, na idadi ya wajumbe wa serikali yake, waliondoka katika mji wa Al-Fashir siku mbili kabla ya Vikosi vya Msaada wa Haraka kutangaza udhibiti kamili wa makao makuu ya Kitengo cha Sita cha Watembea kwa Miguu).

Uadui wa waliokasirikiwa hauachi, je, yupo kiongozi wa Kimungu atakayezuia uadui wao na kuondoa taasisi yao?!

Uadui wa waliokasirikiwa hauachi, je, yupo kiongozi wa Kimungu atakayezuia uadui wao na kuondoa taasisi yao?!

Huu ndio uadui dhidi ya Gaza ukifanywa upya na kile ambacho ofisi ya mhalifu Netanyahu imekiita mashambulizi makali katika Ukanda wa Gaza (Al Jazeera), kwa madai kwamba Hamas ilifanya shambulio dhidi ya askari wake katika Ukanda wa Gaza na kujibu ukiukaji wa makubaliano ya kurejesha maiti, ingawa Hamas ilikanusha kuhusika kwake na tukio la risasi (Al Jazeera), hivyo shirika hilo liliua zaidi ya mashahidi hamsini ndani ya saa chache, na linathibitisha kwamba mashambulizi hayamaanishi kuvunjika kwa makubaliano ya kusitisha mapigano! Trump anathibitisha kuwa mashambulizi ya Wayahudi hayataharibu usitishaji mapigano!

Milki Inaendeleza Mashambulizi Yake dhidi ya Gaza na Kukamatwa kwa Sami Hamdi Ili Kunyamazisha Sauti ya Haki

Milki Inaendeleza Mashambulizi Yake dhidi ya Gaza na Kukamatwa kwa Sami Hamdi Ili Kunyamazisha Sauti ya Haki

Baada ya chombo cha Kiyahudi kuarifu Marekani kuhusu uamuzi wake wa kuendeleza operesheni zake za uhalifu huko Gaza, zaidi ya watu 109 kutoka ardhi iliyobarikiwa ya Palestina wameuawa, wakiwemo watoto 46, na wengine wamejeruhiwa tangu Jumanne jioni, Oktoba 28, 2025, katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la chombo hicho katika maeneo ya Ukanda wa Gaza, yakilenga nyumba za raia na shule inayowahifadhi wakimbizi huko Beit Lahia kaskazini mwa Ukanda huo.

Pamoja na Hadithi Tukufu - Ubora wa Kulinda Mpaka katika Njia ya Mwenyezi Mungu

Pamoja na Hadithi Tukufu - Ubora wa Kulinda Mpaka katika Njia ya Mwenyezi Mungu

‏‏Imesimuliwa kutoka kwa ‏مُحَمَّدُ بْنُ الْمُنْكَدِرِ ‏‏amesema: ‏‏سَلْمَانُ الْفَارِسِيُّ‏ ‏alipita kwa ‏‏شُرَحْبِيلَ بْنِ السِّمْطِ‏ ‏naye alikuwa‏ ‏akilinda mpaka‏ wake, na ilikuwa ngumu kwake na kwa masahaba zake, akasema: Je, nikusimulie ewe‏ ‏ابْنَ السِّمْطِ‏ ‏hadithi niliyoisikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu‏ ‏صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ؟‏ ‏Akasema: Ndio,

34 / 10603