Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Serikali ya Aden inachezea sheria ya Mwenyezi Mungu kuhusu fidia ya nafsi ya muumini!

Serikali ya Aden inachezea sheria ya Mwenyezi Mungu kuhusu fidia ya nafsi ya muumini!

Waraka wa wizara namba (9) kwa mwaka 2025 BK (Wizara ya Sheria huko Aden, chini ya uongozi wa Waziri Badr Abdo Ahmed Al-Ardah, ilitangaza marekebisho ya kiasi cha fidia na kuiongeza kutoka riyal milioni 5.5 hadi riyal milioni 30 za Yemen, kama sehemu ya kile ilichoelezea kama "kusasisha sheria ya adhabu") iliyotolewa na ofisi kuu ya wizara tarehe 3 Rabi' al-Akhar 1447 AH, inayoambatana na Septemba 25, 2025 BK.

61 / 10603