Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Mkutano wa Sharm El-Sheikh Kutangaza Ushindi Dhidi ya Umma, Kudhibitisha Utiifu na Kuimarisha Ukaliaji

Mkutano wa Sharm El-Sheikh Kutangaza Ushindi Dhidi ya Umma, Kudhibitisha Utiifu na Kuimarisha Ukaliaji

Baada ya tangazo la Trump kuhusu ushindi ambao alisema yeye na mwanafunzi wake, taasisi ya Kiyahudi, walipata katika hotuba yake mbele ya Knesset, ushindi huo ulikuwa dhidi ya raia wasio na hatia, wanawake, watoto, wazee, na dhidi ya miti na mawe, mchinjaji wa Gaza alielekea kwenye mkutano uliopangwa na Sisi, wakala wake nchini Misri, na akawaalika wote waliopanga njama dhidi ya ardhi iliyobarikiwa. Mkutano huo ulifanyika katika jiji la Sharm El-Sheikh mnamo 2025/10/13, chini ya kichwa "Mkutano wa Amani wa Sharm El-Sheikh", ulihudhuriwa na zaidi ya nchi ishirini na mashirika ya kimataifa,

Mzozo wa Umwagaji Damu kwenye Mpaka wa Pakistan na Afghanistan na Kushindwa kwa Pande Zote Mbili Kukubali Sheria ya Mwenyezi Mungu

Mzozo wa Umwagaji Damu kwenye Mpaka wa Pakistan na Afghanistan na Kushindwa kwa Pande Zote Mbili Kukubali Sheria ya Mwenyezi Mungu

Mbali na sera ya kujizuia iliyopitishwa na mifumo iliyopo nchini Pakistan na Afghanistan kuelekea maadui wa umma kutoka kwa Wayahudi, Wahindu na Wamarekani, Pakistan na Afghanistan zilitangaza kuuliwa kwa makumi ya wanajeshi wa nchi nyingine katika makabiliano yaliyotokea kwenye mipaka yao, ambayo yalianza Jumamosi jioni na operesheni iliyofanywa na vikosi vya Taliban, na Islamabad iliahidi kujibu kwa nguvu. Kabul pia ilitangaza kwamba vikosi vyake vilifanya operesheni dhidi ya vikosi vya usalama vya Pakistan kujibu ukiukwaji wake wa mara kwa mara na mashambulizi ya anga dhidi ya ardhi ya Afghanistan.

60 / 10603