Organization Logo

بنغلادش مكتب

ولاية بنغلادش

Tel: 8801798367640

Fax: Skype: htmedia.bd

contact@ht-bangladesh.info

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Bangladesh inawaalika watu wote wenye ufahamu, wakiwemo wanasiasa, wasomi, waandishi wa habari na vijana nchini, kufuatilia kongamano lake la kisiasa mtandaoni lenye kichwa: "Bangladesh 2.0: Utegemezi au Ukombozi?"
Press Release

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Bangladesh inawaalika watu wote wenye ufahamu, wakiwemo wanasiasa, wasomi, waandishi wa habari na vijana nchini, kufuatilia kongamano lake la kisiasa mtandaoni lenye kichwa: "Bangladesh 2.0: Utegemezi au Ukombozi?"

September 16, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Bangladesh inawaalika watu wote wenye ufahamu, wakiwemo wanasiasa, wasomi, waandishi wa habari na vijana nchini, kufuatilia kongamano lake la kisiasa kupitia mtandao lenye anwani:

"Bangladesh 2.0: Utegemezi au Ukombozi?"

Licha ya kuanguka kwa dikteta Hasina baada ya watu kutoa dhabihu kubwa, matumaini na matarajio yao hayajatimizwa. Marekani, Uingereza na India bado zinaingilia waziwazi siasa za Bangladesh na kupanga njama za kukwamisha matarajio ya watu katika uasi huo. Serikali ya mpito, mlinzi wa uongo wa uasi huo, inawadanganya kwa jina la "mageuzi ya nchi", "mageuzi ya katiba", "tangazo la Julai," na "mkataba wa Julai," na inashughulika na kutekeleza sera za Marekani. Badala ya kutimiza matarajio ya watu wa nchi kwa ajili ya Bangladesh mpya (Bangladesh: 2.0), kwa sasa ina nia ya kudumisha mfumo wa Hasina.

Katika muktadha huu, Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Bangladesh inaandaa kongamano la kisiasa kupitia mtandao lenye kichwa "Bangladesh 2.0: Utegemezi au Ukombozi?", ili kutoa mwongozo kwa watu ili kufikia lengo kuu la uasi wa Julai 24. Mnaalikwa kufuatilia kongamano hili ili kupata ufahamu wa kisiasa na kubaini nini kifanyike katika hatua hii ya kisiasa ambayo nchi inapitia.

Maelezo ya kongamano ni kama ifuatavyo:

  • Tarehe na Muda: Septemba 19, 2025, Ijumaa, saa 7:00 usiku
  • Mahali pa Utangazaji: ALWAQIYAH.TV

Hotuba katika Kongamano:

1. Hotuba ya kwanza: Njama ya Marekani, Uingereza na India kukwamisha matarajio ya watu katika uasi wa Julai

2. Hotuba ya pili: Bangladesh 2.0: Njia ya kutoka katika dhuluma ya mfumo mpya wa kikoloni na mfumo wa kibepari wa kilimwengu

3. Hotuba ya tatu: Kuelekeza watu kuwekeza uasi katika kufikia lengo lake kuu

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir

Katika Wilaya ya Bangladesh

Official Statement

بنغلادش مكتب

ولاية بنغلادش

بنغلادش مكتب

Media Contact

بنغلادش مكتب

Phone: 8801798367640

Fax: Skype: htmedia.bd

Email: contact@ht-bangladesh.info

بنغلادش مكتب

Tel: 8801798367640 | contact@ht-bangladesh.info

Fax: Skype: htmedia.bd

Reference: PR-019945d2-ec38-74e9-bad9-6544e79ff2db