Nafā'isu ath-Thamarāti
Alama ya Yule Amchaye Mwenyezi Mungu Moyoni Mwake
| Alama ya Yule Amchaye Mwenyezi Mungu Moyoni Mwake |
Ikitoka kwake maasi huumia |
|
| Na huifuatia mara moja kwa toba ya kweli |
Kutokana na dhambi kwa azma ya mwenye kujuta |
Mawārid adh-Dham'ān li-Durūs az-Zamān (Sehemu ya Kwanza)
'Abd al-'Azīz bin Muhammad as-Salmān
Na umshushie rehema Ee Mungu Bwana wetu Muhammad na ahli zake na masahaba zake wote
Na amani iwe juu yenu na rehema ya Mwenyezi Mungu na baraka zake