Vito Vya Thamarati
Maisha Yako Yanafuata Mawazo Yako
Fahamu kwamba maisha yako yanafuata mawazo yako, ikiwa mawazo yako ni katika yale yanayokurudisha na manufaa katika dini au dunia basi maisha yako ni mazuri yenye furaha. Na ikiwa sivyo, basi kinyume chake ndio hukumu.
Njia Muhimu kwa Maisha ya Furaha
Na Ibn Saadi
Mwenyezi Mungu amfikishie rehema Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba wake wote
Na Amani iwe juu yenu na rehema za Mwenyezi Mungu na baraka zake