NAFASI ZA MATUNDA
Usiwe Bahili
Ikiwa huna chochote cha kuwapa wengine,
basi angalau uwe na neno zuri,
au tabasamu la kweli,
au kushughulika na watu kwa tabia njema
Mwenyezi Mungu amshushie rehema Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Amani iwe juu yenu na Rehema ya Mwenyezi Mungu na Baraka zake