Vito Vizuri vya Matunda
Tunakaribiana katika afya, na balaa likishuka tunatofautiana
Alikuwa Al-Hasan akisema: Enyi watu, vipi sisi hukaribiana katika afya, na balaa likishuka tunatofautiana? Hawakuwa hivyo masahaba wa Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema na amani zimshukie, tunajikinga kwa Mwenyezi Mungu kutokana na khilafu juu yao.
Adabu za Al-Hasan Al-Basri, Ucha Mungu wake na Mawaidha yake
Na Abu Al-Faraj Ibn Al-Jawzi
Mola Umshushie rehema Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Amani iwe juu yenu na Rehema za Mwenyezi Mungu na Baraka zake