Thamani za Matunda
Zungumzeni na Hizi Nyoyo
Alisema Al-Hasan Al-Basri, Mungu amrahamu: Zungumzeni na hizi nyoyo, kwani zina haraka ya kuoza, na zipigeni hizi nafsi, kwani zina tamaa kubwa, kwa hivyo ikiwa hamtazizuia, zitakupelekeni kwenye mwisho mbaya zaidi.
Adabu za Al-Hasan Al-Basri, kujinyima kwake, na mawaidha yake
Na Abu Al-Faraj Ibn Al-Jawzi
Mola awasalie Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh