Zawadi Bora
Hifadhi Mambo Matatu Ufurahi
Hifadhi mambo matatu ufurahi:
Ikiwa neema itakudhihirikia, basi mshukuru Mungu
Ikiwa riziki imekucheleweshea, basi omba msamaha kwa Mungu
Ikiwa dhiki imekupata, basi zidisha kusema "La Hawla Wala Quwata Illa Billah"
Mwenyezi Mungu amfikishie rehema Bwana wetu Muhammad, ahli zake na masahaba wake wote
Na Amani iwe juu yenu pamoja na rehema za Mungu na baraka zake