Vito Vizuri
Hizb ut-Tahrir inaendelea na njia ya kuinua Umma kutoka katika anguko lake
Hakika Hizb ut-Tahrir inaendelea na njia ya kuinua Umma kutoka katika anguko lake, na kuukomboa kutoka kwa mifumo ya kikafiri na fikra za kikafiri, kwa kuanzisha upya maisha ya Kiislamu kwa kusimamisha Khilafah Rashidah; ambayo zama zake zimekaribia na imekuwa karibu sana {NA SIKU HIYO WATAIFURAHIA WAUMINI * KWA NUSURA YA ALLAH, HUMNUSURU AMTAYE, NA YEYE NDIYE MWENYE NGUVU, MWENYE KUREHEMU}.
Mola wetu Mlezi amfikishie rehema Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh