Vito Vizuri
Usiaibike kwa Makosa Yako
Usiaibike kwa makosa yako, kwani umeainishwa kuwa miongoni mwa wanadamu
Lakini aibu ikiwa utayarudia na kudai kuwa ni kitendo cha majaliwa
Rehema za Mwenyezi Mungu zimshukie Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Amani iwe juu yenu pamoja na Rehema na Baraka za Mwenyezi Mungu