Nafasi za Matunda
Swala ya Isha na Alfajiri katika Jamaa
Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema na amani zimshukie (Yeyote atakayeswali Isha katika jamaa, ni kama amesimama nusu ya usiku, na yeyote atakayeswali Alfajiri katika jamaa, ni kama ameswali usiku kucha) amesahihisha Al-Albani.
Mwenyezi Mungu umsalie Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh