Nafaisi Al-Thamarati
Watu Watatu Hawana Ghibah
Alikuwa Al-Hasan Al-Basri, Mwenyezi Mungu amrahamu, akisema: Watu watatu hawana ghibah: Mwenye ufasiki anayejitangaza kwa ufasiki wake, kutajwa hayo kutoka kwake, na mwenye uzushi, kutajwa kwa uzushi wake, na imamu dhalimu kutajwa kwa dhuluma yake.
Adabu za Al-Hasan Al-Basri, Zuhdi Zake na Mawaidha Yake
za Abi Al-Faraj Ibn Al-Jawzi
Rehema za Mwenyezi Mungu zimshukie Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Amani iwe juu yenu pamoja na Rehema za Mwenyezi Mungu na Baraka Zake