Nafaisi Al-Thamarat
Enyi mlio amini, mkimnusuru Mwenyezi Mungu, naye atakunusuruni na atathibitisha nyayo zenu
Enyi Waislamu,
Hakuna wokovu kwenu ila kwa Uislamu, na dhuluma haitaondolewa kwenu ila kwa kutekeleza sheria ya Mwenyezi Mungu, mmekwisha jaribu ujamaa na ubepari na utaifa na uzalendo, na hali ya watu iko katika kuzorota katika kila nyanja za maisha, basi katupeni bendera za Sykes-Picot, na inueni bendera ya Mtume wa Mwenyezi Mungu صلى الله عليه وسلم, na fanyeni kazi na Hizb ut-Tahrir ili kusimamisha sheria ya Mwenyezi Mungu kupitia dola ya Khilafah ya Kiislamu iliyoongoka ambayo ndiyo pekee ina wokovu wenu, na Mwenyezi Mungu yuko pamoja nanyi na hatopunguza thawabu za amali zenu.
(Enyi mlio amini, mkimnusuru Mwenyezi Mungu, naye atakunusuruni na atathibitisha nyayo zenu)
Na rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu ya Bwana wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba zake wote
Na Amani iwe juu yenu na rehema za Mwenyezi Mungu na baraka zake