Wilaya ya Uturuki: Mkutano wa Kila Wiki na Vyombo vya Habari - 2025/07/15
Mkutano wa Kila Wiki na Vyombo vya Habari
Kwa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Uturuki
Akiwasilisha Mwalimu Mohammed Amin Yildirim
Mjumbe wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Uturuki
Na alizungumzia wiki hii:
- Muungano wa vyama (Haki -Haraka ya Kitaifa - Chama cha Demokrasia)!
- Taarifa ya Balozi wa Marekani kuhusu Vikosi vya Kidemokrasia vya Syria!
- Chuki (Chuo Kikuu cha Ufundi cha Istanbul) dhidi ya Quran Tukufu!
Jumanne, 20 Muharram 1447 Hijria sawa na 15 Julai 2025 Miladia