Jimbo la Uturuki: Mkutano wa Kila Wiki na Vyombo vya Habari - 2025/10/07
Mkutano wa Kila Wiki na Vyombo vya Habari
wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Jimbo la Uturuki
Ukiwasilishwa na Ustadhi Mahmud Kar
Mkuu wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Jimbo la Uturuki
Na amezungumzia wiki hii:
- Maadhimisho ya pili ya tarehe saba Oktoba!
- Unyonyaji wa serikali wa msafara wa (Ushupavu)!
Jumatano, 15 Rabi' al-Akhar 1447 Hijria, sawa na 07 Oktoba 2025 Miladia