Wilaya ya Uturuki: Mkutano na Vyombo vya Habari wa Kila Wiki - 2025/07/22
Mkutano na Vyombo vya Habari wa Kila Wiki
Kwa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Uturuki
Ukiwasilishwa na Mwalimu Mahmoud Kar
Mkuu wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Uturuki
Na amezungumzia ndani yake wiki hii:
- Wajibu wetu kwa Gaza!
- Kuelekeza hotuba kwa wahusika!
Jumanne, 27 Muharram al-Haram 1447 Hijria, sawia na 22 Julai/Julai 2025 Miladia