Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Sudan: Giza la Makubaliano ya Mfumo au Mwanga wa Katiba Inayotokana na Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah za Mtume wake?

Sudan: Giza la Makubaliano ya Mfumo au Mwanga wa Katiba Inayotokana na Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah za Mtume wake?

Haishangazi kwa kila anayefuatilia hali ya kisiasa nchini Sudan kujua kwamba vita hivi vilipangwa na kusimamiwa na Marekani chafu na mbaya ili kufikia ajenda yake na kuvunja nguvu za washindani wake wa Ulaya, hasa vibaraka wa Uingereza wa kiraia, kwa hivyo vita hivi vinafadhiliwa na Marekani, ni mchezo wake uliolaaniwa. Ushahidi mkuu ni kwamba tamko la kuongeza muda wa vita lilitolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Blinken. Kuongezwa muda wa vita hivi si kwa ajili ya uamuzi wala kuhifadhi damu na kusimamisha uharibifu ambao umeharibu nchi na watu,

Jarida la Ar-Raya: Msiba wa Mwanachama wa Ofisi ya Amir, Ustadhi Ahmed Bakr (Abu Usama) ﴿Miongoni mwa Waumini wapo watu walio sadikisha yale waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Basi wapo miongoni mwao walio kwisha timiza nadhiri yao, na wapo wanao ngojea, wala hawakubadilisha (ahadi yao) hata kidogo﴾

Amir wa Hizb ut-Tahrir, na wanachama wa ofisi ya Amir, na Diwani ya Madhalimu, na Ofisi ya Habari Kuu, na Hizb ut-Tahrir kwa ujumla... wanatoa rambirambi kwa Umma wa Kiislamu kwa msiba wa mwanachama wa ofisi ya Amir, Ustadhi Ahmed Bakr (Abu Usama) ambaye amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe ishirini na mbili ya Rabi' al-Awwal 1447 Hijria, sawa na tarehe kumi na nne ya Septemba 2025 Miladia, akiwa na umri wa miaka themanini na saba.

105 / 10603