Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Haki ya kujitawala" Kulingana na matakwa ya wakoloni!

Rada: Haki ya kujitawala" Kulingana na matakwa ya wakoloni!

Ushawishi wa Magharibi kafiri mkoloni umeenea katika nchi za Waislamu, umeigawa nchi, umeirarua vipande vipande na kuifanya iliyokatwa katwa, iliyopondeka pande zote, kipande hapa na kingine kule; kile kilichotokea nchini Iraq cha mgawanyiko na shirikisho la kikabila, na kile kilichotokea Pakistan cha kutenganisha Mashariki na Magharibi, na kile kilichokamilika cha kukata Timor Mashariki kutoka Indonesia, na kile kilichokamilika nchini Sudan cha kutenganisha Kusini na Kaskazini mwake, mpaka nchi za Waislamu zilizogawanyika zinaelekea kwenye njia ya mgawanyiko na utengano zaidi.

107 / 10603