Mfumo wa Syria Unajipendekeza kwa Marekani kwa Unyenyekevu Mwingi
Habari:
Habari:
Mfululizo wa Vipindi - Jinsi Ukhalifa Ulivyobomolewa - Sehemu ya 16
Basi, dola ya kilimwengu iko mbali sana na kuzingatia maadili ambayo jamii inataka kupima imani zake, na iko mbali sana na kuweka itikadi inayolenga kudhibiti mchakato wa kutunga sheria, au kuweka sheria za kudhibiti tabia za watu, ili iwaambie: Uzini ni haramu na dawa za kulevya ni haramu!
Mahojiano maalum na idara ya wanawake katika ofisi kuu ya habari ya Hizb ut-Tahrir ndani ya shughuli za kampeni ya kimataifa iliyoandaliwa na idara ya wanawake yenye kichwa "Vita vya Sudan: Hadithi ya ukoloni, usaliti na kukata tamaa" na dada Ummu Akram na dada Hajar Belhaj walishiriki katika mahojiano.
Televisheni ya Al-Waqiyah: Mifano ya kivitendo ya kufikiri kwa ubunifu!
Uwepo wa Misri umehusishwa na Mto Nile tangu zamani, kwani ndio mshipa wa uhai wake na chanzo cha maisha ya watu wake. Misri inategemea Nile kwa takriban 97% ya mahitaji yake ya maji, kwani jumla ya rasilimali zake za maji za kila mwaka ni karibu bilioni 60 za mita za ujazo, ambapo bilioni 55.5 zinatoka Nile, wakati mahitaji halisi yanazidi bilioni 114 za mita za ujazo. Hiyo ni kusema, kuna pengo la takriban bilioni 54 za mita za ujazo zinazozibwa kupitia utumiaji tena wa maji taka ya kilimo na maji ya ardhini. Pamoja na nakisi hii kubwa, upungufu wowote wa ziada, hata kama ni mabilioni machache, unamaanisha janga la kiuhai.
Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Bangladesh linaandaa kongamano la kisiasa lenye kichwa: