Mjumbe wa Marekani Thomas Barack Anaonyesha Majivuno ya Kimarekani Dhidi ya Nchi za Kiislamu
Tunawasalimu nyote wapenzi wetu popote mlipo katika kipindi kipya cha programu yenu: PAMOJA NA HADITHI TUKUFU, na tunaanza na salamu bora kabisa, Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh.
Muhtasari wa Kitabu cha Sera Bora ya Kiuchumi Sura ya 8
Mzee mmoja aliingia hospitali kutokana na ugonjwa na uzee. Kijana mmoja alimtembelea akiwa na mtoto mdogo. Alikaa naye kwa saa moja, akamsaidia kula na kuoga, kisha akampeleka kwenye bustani ya hospitali na akaondoka baada ya kumhakikishia. Muuguzi alipoingia kumuelekeza mzee dawa na kumwangalia, alisema kwa mshangao.!!
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Surah Al-Anfal
Mfululizo wa Vipindi- Jinsi Ukhalifa Ulivyobomolewa-Sehemu ya 1-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Johann Wadephul, alitangaza wakati wa mkutano wa Umoja wa Ulaya katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen, Jumamosi, kwamba Berlin haitakubali kwa sasa pendekezo la Tume ya Ulaya la kuweka vikwazo kwa taasisi ya Kiyahudi kutokana na hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. (Arab 48, 2025/8/30)
Jimbo la Tunisia: Toleo la 556 la Gazeti la Ukombozi Latolewa
Mji wa Al-Fashir, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, unashuhudia janga halisi la kibinadamu, huku kukiwa na mapigano kati ya pande zinazopigana, ambapo raia kadhaa wameuawa katika siku chache zilizopita, wakati wakazi wanakabiliwa na mzingiro mkali, kwa zaidi ya mwaka mmoja, na njaa ya makusudi, huku kukiwa na ukimya wa kimataifa wa kutiliwa shaka, huku Umoja wa Mataifa ukithibitisha kuuawa kwa watu wasiopungua 89 katika mapigano ya siku zilizopita.
Miaka minne iliyopita, tarehe 31 Agosti 2021, uvamizi wa kijeshi wa Marekani na vikosi vya Jumuiya ya kujihami ya NATO (NATO) nchini Afghanistan, ambao ulidumu kwa miongo miwili, uliisha kwa kuondoka kwa askari wa mwisho wa Marekani kutoka humo saa sita za usiku. Hii inatokana hasa na mabadiliko ya lengo la Marekani kuelekea eneo la Bahari ya Hindi na Pasifiki, ili kupunguza kasi ya maendeleo ya China. Nchi ya Kiislamu, hasa Afghanistan na watu wake wanamgambo, imekuwa chanzo cha usumbufu kwa Marekani, na chanzo cha kukengeusha fikira zake kutoka kwa mkakati huu mpya. Tunabariki na tunaendelea kubariki mafanikio haya ya kihistoria na siku hii kuu kwa Waislamu wote, hasa watu wa Afghanistan, kampeni ya Da'wah, na wanamgambo.