Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Enyi watu wa Sudan, mna uwezo wa kufelisha mpango wa kuikata Darfur, basi simameni kwa utiifu kwa Mwenyezi Mungu!

Rada: Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Enyi watu wa Sudan, mna uwezo wa kufelisha mpango wa kuikata Darfur, basi simameni kwa utiifu kwa Mwenyezi Mungu!

Katika hatua iliyotarajiwa, kiongozi wa vikosi vya usaidizi wa haraka, Muhammad Hamdan Daglo, aliapa kama rais wa baraza la urais la kile kinachoitwa serikali sambamba, katika Nyala, mji mkuu wa kusini mwa Darfur, Jumamosi, 30/8/2025, na vile vile naibu rais, wajumbe wa baraza la urais, na waziri mkuu walikula kiapo. Hatua hii ilitarajiwa kama sehemu ya mpango wa uhalifu wa Amerika, unaolenga kuitenganisha Darfur, kupitia vibaraka wake kutoka kwa viongozi wa jeshi, viongozi wa vikosi vya usaidizi wa haraka, na mamluki wa siasa.

Kuhalalisha Watawala wa Sham na Entiti ya Kiyahudi Kuliwahimiza Watawala wa Bahrain Kuanzisha Upya Uhusiano na Wayahudi Baada ya Kukatika

Kuhalalisha Watawala wa Sham na Entiti ya Kiyahudi Kuliwahimiza Watawala wa Bahrain Kuanzisha Upya Uhusiano na Wayahudi Baada ya Kukatika

Shirika la habari la Bahrain (BNA) lilisema Alhamisi kwamba Waziri wa Mambo ya Nje Abdul Latif bin Rashid Al-Zayani alipokea jana nakala ya hati za utambulisho za balozi mpya wa Wayahudi nchini Bahrain, Shmuel Revel. Shirika la habari la Bahrain lilisema Al-Zayani alisisitiza katika mkutano wake na balozi "umuhimu wa kuendeleza juhudi zinazochangia kuunga mkono juhudi za amani, usalama na utulivu katika eneo hilo." Ikumbukwe kwamba Bahrain hapo awali ilitangaza kwamba balozi wake kwa entiti ya Kiyahudi alirejea nchini mnamo Novemba 2023 "kwa msaada wa suala la Palestina", na kwamba balozi wa Wayahudi huko Manama aliondoka ufalme. (Al-Jazeera, 28/08/2025, imerekebishwa)

133 / 10603