null
null
null
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza mnamo Julai 30, 2025 msururu wa ushuru wa kulipiza kisasi dhidi ya India, na kuikosoa kwa kuwa na "vikwazo vya kibiashara visivyo vya kifedha vyenye kuchosha na visivyopendeza," na kuiwekea ushuru wa 25% pamoja na faini. Ingawa Trump alikiri "urafiki" na India, aliikosoa vikali kwa kununua vifaa vya kijeshi vya Urusi na mafuta ya bei rahisi kutoka kwayo,
null
null
null
Majeshi ya Msaada wa Haraka yalitangaza siku ya Jumamosi 2025/07/26 Miladia, kuunda serikali sambamba na serikali iliyopo Sudan, katika mji mkuu wa Darfur Kusini (Nyala), na hatua hii ya Majeshi ya Msaada wa Haraka, ni hatua ya kimaendeleo katika kutenganisha eneo la Darfur, ambalo wanalidhibiti, isipokuwa sehemu za mji wa Al-Fasher, ambao wameuwekea mzingiro mkali kwa zaidi ya mwaka mmoja, na wanafanya mashambulizi ya mara kwa mara ili kuuangusha, ili eneo lote la Darfur liwe chini ya udhibiti wao.
null
Uwepo wa Urusi katika eneo la kusini mwa Caucasus ulitikisika (baada ya Armenia na Azabajani kutiia tangazo la pamoja na Marekani kuhusu suluhu ya amani na makubaliano katika nyanja za biashara na usalama baada ya mzozo wa zaidi ya miaka 35 kati ya nchi hizo mbili jirani.. Al Jazeera 2025/8/15) Azabajani na Armenia zilikuwa zimetoa taarifa ya pamoja mnamo 2025/8/11, kufuatia makubaliano yaliyosainiwa kati yao huko Washington mnamo 2025/8/8, zikiomba pande zingine kutatua kundi la Minsk lililoanzishwa mnamo 1992 kutatua shida kati ya
null
[Televisheni ya Al-Waqiyah] - Jibu la swali kutoka kwa Hizb ut-Tahrir - Matukio ya Armenia na Azerbaijan! Muhtasari wa jibu la swali lililotolewa na Amiri wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkuu Ata bin Khalil Abu al-Rashtah, Mungu amhifadhi, kuhusu matukio ya Armenia na Azerbaijan. Kutoka kwa uzalishaji wa Al-Waqiyah TV