Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Trump Anadai Hamas Haitaki Makubaliano ya Kusitisha Vita na Hamas Yakana

Trump Anadai Hamas Haitaki Makubaliano ya Kusitisha Vita na Hamas Yakana

Rais wa Marekani Donald Trump amedai kwamba harakati ya Hamas haitaki kweli kufikia makubaliano yanayoongoza kwenye kusitishwa kwa vita vya Wayahudi dhidi ya Gaza, huku Waziri Mkuu wa Wayahudi Netanyahu akisisitiza kwamba shirika lake linachunguza chaguzi za kuwarejesha mateka. Katika matamshi yake siku ya Ijumaa kutoka bustani ya Ikulu ya White House, Trump alisema kwamba kutakuwa na mapigano na kuangamizwa kwa Hamas, kwani "haitaki kufikia makubaliano, na nadhani inataka kufa." Aliongeza kuwa utawala wake umejiondoa kwenye mazungumzo ya Gaza, na kwamba hili ni jambo la kusikitisha, akishutumu Hamas kwamba haitaki kufikia makubaliano,

Magereza ya Misri Kati ya Mateso na Mauaji Wakati Heshima Inapoporwa na Haki Kuuawa!

Magereza ya Misri Kati ya Mateso na Mauaji Wakati Heshima Inapoporwa na Haki Kuuawa!

Katika tukio linalojirudia la uhalifu uliofichwa, kijana Ayman Sabri alifariki ndani ya kituo cha polisi katika mkoa wa Dakahlia, kutokana na mateso ya kikatili yaliyoacha athari zake wazi mwilini mwake, na haikupita saa 48 kabla ya kijana mwingine kufariki ndani ya kituo cha polisi cha Al-Saf katika mkoa wa Giza, huku kukiwa na simulizi zinazofanana kuhusu kupuuzwa kwa makusudi, unyanyasaji na ukosefu wa ubinadamu, jambo ambalo limegeuza vituo hivyo kuwa mahali pa kifo cha polepole.

Ulinzi wa Wadrusi ni kisingizio cha kuisambaratisha Syria na kukwamisha jaribio lolote la kuleta ufufuo wa Umma

Ulinzi wa Wadrusi ni kisingizio cha kuisambaratisha Syria na kukwamisha jaribio lolote la kuleta ufufuo wa Umma

Shambulio la Mayahudi dhidi ya jeshi la Syria lililotumwa kusuluhisha mzozo, kwa kisingizio cha kuwalinda Wadrusi, si chochote ila ni sehemu ya mfululizo wa mipango ya Magharibi ambayo inalenga kuendeleza mgawanyiko wa Umma wa Kiislamu na kuendeleza hali ya machafuko ndani yake. Shirika la Kiyahudi halitafuti kulinda dhehebu au kuwasaidia waliodhulumiwa, bali linalenga kuisambaratisha Syria kama dola kuu, na kuidhoofisha ili kuhakikisha utawala wake katika eneo hilo na kufikia malengo yake.

Majanga Mawili Yanayoikumba Umma wa Kiislamu: Watawala Wabaya na Mfumo Mbaya, na Lazima Yabadilishwe Mara Moja

Majanga Mawili Yanayoikumba Umma wa Kiislamu: Watawala Wabaya na Mfumo Mbaya, na Lazima Yabadilishwe Mara Moja

Mnamo Julai 26, 2025, jiji la Kuala Lumpur lishuhudia maandamano ya wananchi ambayo hayajawahi kushuhudiwa, yakidai kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa Malaysia, Datuk Seri Anwar Ibrahim. Maandamano haya yalionyesha hasira ya watu na kuchanganyikiwa kunakoongezeka dhidi ya uongozi ambao haukushindwa tu kutimiza ahadi zake za mageuzi, lakini ulizidisha mateso ya watu kwa kuongeza kodi, kuongeza ushuru wa umeme, na kupanda kwa bei za bidhaa muhimu.

Jarida la Ar-Raya: Jibu la Swali Matukio ya Suwayda

Jarida la Ar-Raya: Jibu la Swali Matukio ya Suwayda

(Tovuti ya "Axios" iliripoti mkutano wa ngazi ya juu uliofanyika Paris kati ya Waziri wa Mipango Mkakati wa Israel Ron Dermer, na Waziri wa Mambo ya Nje Asaad Al-Shibani, ulioratibiwa na mjumbe maalum wa Marekani kwa Syria Thomas Barack. 2025/7/25), na siku chache zilizopita tangu 2025/7/12 zimeshuhudia kuongezeka kwa machafuko katika mkoa wa Suwayda, kusini mwa Syria, ambako wengi wa watu wake ni Wadrusi. Na chombo cha Kiyahudi kimetangaza kuingilia kati mambo yao pamoja na kuendelea na uchokozi na mashambulizi yake nchini Syria, hivyo kimefanya na kushambulia maeneo ya jirani ya Ikulu ya Rais, na kushambulia Wizara ya Ulinzi na Makao Makuu ya Majeshi huko Damascus... Na swali ni: Ni nini ukweli wa yanayotokea Suwayda?

Jarida la Ar-Raya: Mfumo wa Jordan unaendelea kuwapotosha watu wa Jordan huku ukiwaacha watu wa Gaza na Ukingo wa Magharibi

Jarida la Ar-Raya: Mfumo wa Jordan unaendelea kuwapotosha watu wa Jordan huku ukiwaacha watu wa Gaza na Ukingo wa Magharibi

Mfumo wa Jordan hautaweza kukamilisha kazi yake ya kiutendaji ambayo ulianzishwa kwa ajili yake, nayo ni kuimarisha taasisi ya Kiyahudi huko Palestina, haijalishi kiwango chake cha utegemezi na huduma zake tukufu katika kuwatoa watu wa Jordan kutoka kwa uaminifu wao kwa dini yao na kufuta historia yao kama sehemu ya Umma wa Kiislamu na kubadilisha uzalendo bandia na mipaka iliyoundwa na ukoloni nayo, na Amerika ilichukua kazi yake baadaye na kuunga mkono taasisi ya Kiyahudi.

191 / 10603